#utaliiwandani Stroies

9,995 Posts

Top Posts

Mout Kilimanjaro , the Roof of Africa and the highest free standing mountain in the World. Remember it can be seen from anywhere, but you can climb it only when you are in Tanzania. Come one, come all. uhuru peak 🗻 #Tanzania  Karibu sana. Repost from @tanzaniaparks  video taken by @innocentmmari  #tanzaniaparks  #Tanzania  #Tarangire  #elephant  #kilimanjaro  #nature  #wildlife  #hiking  #safari  #take_me_to_tanzania  #utaliiwandani  #naturephotography  #tanapa  #culturaltourism  #natgeo  #natgeoyourshot  #africa  #naturephotography 

Ni #kumbukmbu  nzuri ya vijana wa kujitolea wa Taasisi ya The Islamic Foundation wakiwa na mkurugenzi wa imaan media @abuomarbawazir  walipokuwa juu ya kilele cha Bondwe katika safu za Milima ya Uluguru jijini Morogoro. _____________________________ #throwbackthursday  #uluguruHiking  #TifBoys  #teamwork  #trip  #brothers  #forest  #ulugurumountains  #morogoro  #tanzania  #green  #Mountains  #msitu  #team  #milima  #together  #uluguru  #allhamdulillah  #utaliiwandani  #kijani  #tanzania  #AfrikaMashariki  #afrika  #islamicftz 

@magamba.nature.forest.reserve  ni Mwendo wa kujionea utalii mkubwa Wa nchi yetu Tanzania. Asante @amini_tz  kwa kutimiza Ahadi zako nataka unipeleke hifafhi zote za mazingira nipate kujionea vivutio mbali mbali, Asante sana TFS @tanzania_forest  @tz_unforgettable  @hamisi_kigwangalla  @harrisonmwakyembe  @dos_silayo  @msemajimkuuwaserikali  @utalii_wa_ndani_na_nje_ya_nchi  #VisitTanzania  #TanzaniaUnforgettable  #tanzaniayetumisituyetufahariyetu  #utaliiwandani  📸📸: @kajunasonblog 

What set aside Serengeti from other National Parks is abundance! You may find a species in other places but the same species here is in abundance! Indeed Serengeti is Land of Abundance! 📸@fredshirimaphotography  #migration  #thegreatmigration  #wildebeest  #nyumbu  #gnu  #migratory  #phenomena  #nature  #natureisamazing  #picoftheday  #africa  #safari  #tanzaniaparks  #tanzaniaunforgettable  #utaliiwandani 

SIMBA DUME . moja kati ya wanyama ambao wanapata sana shida mpaka kuja kukua na kuwa na familia kawa wengine ni simba dume . Vikwazo huanza utotoni ambapo mbali na maadui wengine wanaokuja kuvamia familia zao lakini pia adui yao mkubwa sana anatoka ndani ya familia yake .na huwa ni "baba" yaani dume la familia linachukia sana watoto wa kiume, ni kwasababu tu anaogopa kuja kurithiwa baadae .pia kama jamii nyingine itakuja kuvamia na wakashinda basi watoto wa kiume hutolewa kafala, husomewa hukumu ya kunyongwa bila sababu 😀 . Sasa kama watakua, labda madume wawili au watatu kawaida huwa wanaunda group moja lenye nguvu saana na huwa madume tu na hili huitwa COALITION .kama zile movies (the expandables au fast and furious 😀) . Sasa kazi ya coalition ni kulinda territory na wanafamilia, hapa sasa dingi nae anakuwepo na alama zinaweka kwa mikojo, .sasa wavamizi huwa wanapigwa sanaa .na hili kundi wakiwa wawili tu lazima nyati aende chini wananguvu sana .ila muda wa mating ndio urafiki unaisha kwenye kugombania jike 😀 japo wakati mwingine wote hushiriki . Kundi lingine la simba dume tu ni wale waliotengwa na pride baada ya kufeli hivyo nao huunda kundi (coalition) ambalo hujitafutia chakula sasa hawa ndo hawafai kabisa kwa vita . VIDEO .Nimepokea tags nyingi sana kuhusu hii video sasa ngoja niingie deep kuielezea kama nani aliliwa?? . Sasa hii video ilichukuliwa mei 5 2017 .kwenye mto unaogawanya Namibia na Botswana ambapo simba dume wawili walikua wanakatiza .hawa simba walimuona huyu mamba ila wakamchukulia boya tu sasa wakati wanavuka mamba akamu-attack wa mbele .daah walimzingua mamba vibaya saana yani kumchangia ikawa kama alshababu. .unapigwa nyumbani mbele ya mkeo😀 . Lakini mamba alipambana sanaa na akafanikiwa kumzamisha mmoja lakini yule simba mwingine akazidisha vita ambapo ilipelekea kumuokoa mwenzie .ila sasa mmoja akarudi botswana na mmoja akavuka namibia na walikaa siku mbili pande tofauti na baadae wakaungana .walikua wanavuka kwenda kutafuta jike huko namibia . Hii vita ilishuhudiwa na mamba wengine pamoja na watalii😀 naona hawa mamba hawakutaka kabisa kumsaidia mwenzao . TEMBELEA HIFADHI ZA TAIFA/FANYA UTALII WA NDANI .#serengeti  #ngorongoro 

Pale unapoamka asubuh na kuamua kwenda kunawa uso katika maporomoko ya maji(ndoro waterfalls) ni raha ilioje kuconnect na nature Kama hivi japo maji ni barid sana.. @lucidy_lavie  #seintheadventurer  #hkadventuresntours  #travelphotography  #waterfalls  #safari  #Unakosajesasa  #unfogettablemoments  #tzunforgettable  #tzdestinations  #tzdiscovery  #Utaliiwandani  #chaka2chaka  #tuizunguketanzaniapamoja  #nationalgeographic  #natgeo  #bbctravel  Endelea kutufatilia ktk kurasa zetu @sein_the_adventurer  @hkadventuresntours  @kkezibert  Kupata update mbalimbali zasafari.

On his second day visit to the world famous serengeti,@aytanzania  and family had a chance for the first time to see two male cheetah among many other attractions during the game drive in the park! #safari  #africa  #tanzania  #domestictourism  #utalii  #utaliiwandani  #africaamazing  #nature  #cheetah  #cheetahmale  #visitserengeti  #gamedrive  #tourism  #nature_sultans  #family  #grasslands  #worldheritage  #unescoworldheritage 

Recent Posts

Something interesting about ostriches, they can run upto 70km/h. The males have black feathers while females have grey feathers and their chicks all have brown feathers untill about 9 months that's wen you can differentiate btn male and females. Their distinctive colors are used for camouflage and that during breeding season females sit on eggs during the day because it's hard for predators to spot them and males during the night.. - - - - - - - - - - @crater_ngorongoro  Cc @emode_pixels  - - - - - - - - - - #photographer  #utaliiwandani  #nikon  #D3s  #traveller  #offroad  #travelgram  #tourist  #vacation  #adventure  #life  #nature  #like  #bird  #capture  #travel  #trip  #tourism  #grass  #wildlife  #nikonnofilter  #photographyislife  #wild  #Tanzania  #safari  #ostrich 

HK ADVENTURES & TOURS imeandaa safari ya MAGOROTO FORREST TOUR kwa siku 2 kuanzia tarehe 22/6/2019 mpaka tarehe 23/6/2019.kw gharama ya 200,000Tsh kwa mtu mmoja. Ambayo itahusisha usafiri,chakula,malazi pamoja na -Boating -Hiking -Forest tour -cycling -waterfalls -viewpoint -Camping near the lake -Magoroto lake Kwa Maelezo zaidi na kubook ticket yako yasafar tupigie 0719 544 344 0743 999 391. Follow us on Instagram @sein_the_adventurer  or @hkadventuresntours  Facebook Hk Adventures & Tours Co. #SeinTheAdventurer  #hkadventuresntours  #unfogettablemoments  #Unakosajesasa  #chaka2chaka  #tzunforgettable  #tzdestinations  #tzdiscovery  #Utaliiwandani  #tuizunguketanzaniapamoja  Endelea kutufatilia ktk kurasa zetu kupata update mbalimbali zasafari @sein_the_adventurer  @kkezibert  @hkadventuresntours 

Twende tukaijue #Zanzibar  ni week ya Sikuu ya EID tarehe 7 hadi 9 Mwezi wa Sita 2019. Kwa pamoja tutatembelea Jozan forest, prison island, Ngome Kongwe, Nyumba ya Ajabu bila kusahau forodhani food market baada ya hapo tutakwenda kurelax kwenye ufukwe wenye Dolfin wakuvutia. Kwa kiasi cha shilingi 230,000 tu kwa kila mtu mmoja. na shilingi 440,000 tu kwa watu wawili Gharama zinajumuisha malazi, usafiri wa boti kutoka dar kwenda zanzibar, viingilio pamoja na usafiri kwa safari zote zinazohusiana na hii safari ndani ya zanzibar Kwa mawasiliano usisite kututafuta kupitia 0753148622(Dullah) 0657928380 (Julieth) #twendezanzibar  #EidHoliday  #utaliiwandani  #gateway  #SikukuuyaEid  #weekendmood  #vacation  #ifahamuzanzibar  #twendezanzibar  #utaliiwandani 

Summer is around the corner🤗 and Holiday will also be around😉 enjoy your holiday in the safari 🐘🦌🦒🐆🦁 Check with us on Email:mikumiholiday@gmail.com  WhatsApp:+255625927127 #zanzibar #mikumipark #mikumiholiday #mikuminationalpark #kizimkazi #kiwengwa #pwanimchangani #nungwi #nungwibeach #serengetinationalpark #stonetown #cheapsafari #cheaptour #visit #letsgoafrica #bigfive #tanzaniaparks #safari #holiday #vocation #summertime #utaliiwandani #jambiani #tansania #sansibar #zanzibarhotel #zanzibarhotels 

Kilimanjaro gate(marangu gate). Photo credit to @grailstudios  @unclebphoto  MOUNT KILIMANJARO CLIMBING TIPS. Vitu gani uwe navyo!! -miwani ya jua -mask ya kuziba pua na mdomo -boshori(mzula) kofia ya kufunika kichwa chote -Viatu vinavyokupwaya -chupa mbili za maji -nguo za ndani tight full suit pair 3 -Rain jacket -Nguo za kuzuia au kujikinga na upepo -gloves za mikono -soksi nzito pair 3 -walking sticks 2 -sleeping bag Save the date 20-28/7/2019 ndo safari yetu ya kupanda mlima Kilimanjaro for 692,000tsh PPS. Call us for booking 0719 544 344 0743 999 391 Endelea kutufatilia ktk pages zetu kupata update mbalimbali za safari @hkadventuresntours  @sein_the_adventurer  @kkezibert  #tuizunguketanzaniapamoja  #hkadventuresntours  #seintheadventurer  #tzdiscovery  #tzdestinations  #chaka2chaka  #Unakosajesasa  #tztour  #utaliiwandani  #mountainhiking  #mountkilimanjaro  #hiking  #climbing 

Baada ya kufika ktk gate la Marangu tulikuta ukungu na baridi si yakawaida na ile Hali ndo ilikuwa imepemdezesha Sana eneo hili na Kila mmoja alifurahia kuwepo ktk eneo hili japo ilikuwa nikwamuda mchache na pia kuna mfano wa mlima umetengenezwa ktk eneo hili na imependezesha mno eneo hili mfano wamlima huo wakilimanjaro ni Kama uwonavyo ktk picha Hapo juu.. Photo credit to @grailstudios  @unclebphoto  MOUNT KILIMANJARO CLIMBING TIPS. Vitu gani uwe navyo!! -miwani ya jua -mask ya kuziba pua na mdomo -boshori(mzula) kofia ya kufunika kichwa chote -Viatu vinavyokupwaya -chupa mbili za maji -nguo za ndani tight full suit pair 3 -Rain jacket -Nguo za kuzuia au kujikinga na upepo -gloves za mikono -soksi nzito pair 3 -walking sticks 2 -sleeping bag Save the date 20-28/7/2019 ndo safari yetu ya kupanda mlima Kilimanjaro for 692,000tsh PPS. Call us for booking 0719 544 344 0743 999 391 Endelea kutufatilia ktk pages zetu kupata update mbalimbali za safari @hkadventuresntours  @sein_the_adventurer  @kkezibert  #tuizunguketanzaniapamoja  #hkadventuresntours  #seintheadventurer  #tzdiscovery  #tzdestinations  #chaka2chaka  #Unakosajesasa  #tztour  #utaliiwandani  #mountainhiking  #mountkilimanjaro  #hiking  #climbing 

HK ADVENTURES & TOURS imeandaa safari ya MAGOROTO FORREST TOUR kwa siku 2 kuanzia tarehe 22/6/2019 mpaka tarehe 23/6/2019.kw gharama ya 200,000Tsh kwa mtu mmoja. Ambayo itahusisha usafiri,chakula,malazi pamoja na -Boating -Hiking -Forest tour -cycling -waterfalls -viewpoint -Camping near the lake -Magoroto lake Kwa Maelezo zaidi na kubook ticket yako yasafar tupigie 0719 544 344 0743 999 391. Follow us on Instagram @sein_the_adventurer  or @hkadventuresntours  Facebook Hk Adventures & Tours Co. #SeinTheAdventurer  #hkadventuresntours  #unfogettablemoments  #Unakosajesasa  #chaka2chaka  #tzunforgettable  #tzdestinations  #tzdiscovery  #Utaliiwandani  #tuizunguketanzaniapamoja  Endelea kutufatilia ktk kurasa zetu kupata update mbalimbali zasafari @sein_the_adventurer  @kkezibert  @hkadventuresntours 

#utaliiwandani  Wengi wa simba jike huanza kuzaa wakiwa na miaka minne. Simba hawajamiani katika kipindi maalumu cha mwaka. Kama ilivyo kwa paka wengine, uume wa simba una kama miiba zilizogeukia nyuma. Wakati wa kuutoa, miiba hiyo hukwangua kuta za uke na kusababisha kuachiwa kwa yai. Akiwa kwenye joto, simba jike huweza kujamiana na zaidi ya dume mmoja, na wakati wa kujaamiana, ambao unaweza kuchukua siku kadhaa, wenza hao hujamiana mara ishirini mpaka arobaini kwa siku na mara nyingi hata huahirisha kula. Simba huzaliana vizuri kwenye hifadhi. Simba jike hubeba ujauzito kwa siku 110, na kisha hujifungua watoto mmoja mpaka wane kwenye sehemu maalumu, mara nyingi mbali na lilipo kundi lake. Mara nyingi huwinda peke yake wakati watoto bado hawajiwezi, wakikaa karibu na watoto huzaliwa wakiwa hawaoni, mpaka baada ya wiki hivi. Huwa na uzito wa kg 1.2-2.1 wakati wa kuzaliwa na huweza kuanza kutambaa baada ya siku moja mpaka mbili na kuweza kutembea nje baada ya majuma matatu. Simba jike huyo huwahamisha watoto wake mara kadhaa kwa mwezi, kwa kuwabeba mmojammoja kwa shingo zao, ili kuzuia harufu kujijenga kwenye malazi yao na hivyo kuvuta wanyama wengine wala nyama ambao pengine wangeweza kuwadhuru watoto

May 25th is African Liberation day.Dar Es Salaam city played a big role in the 1960's,70's,80's and 1990's to facilitated independence to many African countries. How do we celebrate all these?Afriroots is celebrating May 25th by organising Dar Es Salaam city tour where by we will visit all places which helped to liberate our continent. Saturday May 25th from 9am-1pm. From grounds of old poster garden Dar Es Salaam Don't miss it, We gave an offer of tsh.25,000 per person and Tsh.10,000 for student with an ID instead of $40 per person. @mejahmbuya  is an experience guide for 15yrs and historian will lead it ,come and learn why Dar es Salaam was a Mecca for revolutionaries!! Book via +255 763 652 641 #afriroots  #tzinyourpocket  #promotingtourism  #utaliiwandani 

Pale unapoamka asubuh na kuamua kwenda kunawa uso katika maporomoko ya maji(ndoro waterfalls) ni raha ilioje kuconnect na nature Kama hivi japo maji ni barid sana.. @lucidy_lavie  #seintheadventurer  #hkadventuresntours  #travelphotography  #waterfalls  #safari  #Unakosajesasa  #unfogettablemoments  #tzunforgettable  #tzdestinations  #tzdiscovery  #Utaliiwandani  #chaka2chaka  #tuizunguketanzaniapamoja  #nationalgeographic  #natgeo  #bbctravel  Endelea kutufatilia ktk kurasa zetu @sein_the_adventurer  @hkadventuresntours  @kkezibert  Kupata update mbalimbali zasafari.

Ili kuweza kufurahia maisha na kuwa na afya bora kila wakali nilazima ukatunza misitu na kutoharibu mazingira yetu kwa kutokata miti ovyo mm kama mTanzania naungana na @tanzania_forest  kukwambia kwanza tukitunza mistu vizur nayo itakutunza Je ww unaungana na mimi katika kutunza mistu ya nchi yetu ? #amani  #lushoto  #karibuTanga  #utaliiwandani  #misitunimaisha  Asant sana @tanzania_forest 

Hiki ndicho kilichokuwa kikiendelea wakat tunaweka pozi za kupiga picha ktk kibao hicho kinachoainisha mchanganuo mzima wa safari ya kupanda mlima Kilimanjaro kupitia njia ya marangu.. Kilimanjaro gate(marangu gate). Photo credit to @grailstudios  @unclebphoto  MOUNT KILIMANJARO CLIMBING TIPS. Vitu gani uwe navyo!! -miwani ya jua -mask ya kuziba pua na mdomo -boshori(mzula) kofia ya kufunika kichwa chote -Viatu vinavyokupwaya -chupa mbili za maji -nguo za ndani tight full suit pair 3 -Rain jacket -Nguo za kuzuia au kujikinga na upepo -gloves za mikono -soksi nzito pair 3 -walking sticks 2 -sleeping bag Save the date 20-28/7/2019 ndo safari yetu ya kupanda mlima Kilimanjaro for 692,000tsh PPS. Call us for booking 0719 544 344 0743 999 391 Endelea kutufatilia ktk pages zetu kupata update mbalimbali za safari @hkadventuresntours  @sein_the_adventurer  @kkezibert  #tuizunguketanzaniapamoja  #hkadventuresntours  #seintheadventurer  #tzdiscovery  #tzdestinations  #chaka2chaka  #Unakosajesasa  #tztour  #utaliiwandani  #mountainhiking  #mountkilimanjaro  #hiking  #climbing 

Hiki ndicho kilichokuwa kikiendelea wakat tunaweka pozi za kupiga picha ktk kibao hicho kinachoainisha mchanganuo mzima wa safari ya kupanda mlima Kilimanjaro kupitia njia ya marangu.. Kilimanjaro gate(marangu gate). Photo credit to @grailstudios  @unclebphoto  MOUNT KILIMANJARO CLIMBING TIPS. Vitu gani uwe navyo!! -miwani ya jua -mask ya kuziba pua na mdomo -boshori(mzula) kofia ya kufunika kichwa chote -Viatu vinavyokupwaya -chupa mbili za maji -nguo za ndani tight full suit pair 3 -Rain jacket -Nguo za kuzuia au kujikinga na upepo -gloves za mikono -soksi nzito pair 3 -walking sticks 2 -sleeping bag Save the date 20-28/7/2019 ndo safari yetu ya kupanda mlima Kilimanjaro for 692,000tsh PPS. Call us for booking 0719 544 344 0743 999 391 Endelea kutufatilia ktk pages zetu kupata update mbalimbali za safari @hkadventuresntours  @sein_the_adventurer  @kkezibert  #tuizunguketanzaniapamoja  #hkadventuresntours  #seintheadventurer  #tzdiscovery  #tzdestinations  #chaka2chaka  #Unakosajesasa  #tztour  #utaliiwandani  #mountainhiking  #mountkilimanjaro  #hiking  #climbing 

HK ADVENTURES & TOURS imeandaa safari ya MAGOROTO FORREST TOUR kwa siku 2 kuanzia tarehe 22/6/2019 mpaka tarehe 23/6/2019.kw gharama ya 200,000Tsh kwa mtu mmoja. Ambayo itahusisha usafiri,chakula,malazi pamoja na -Boating -Hiking -Forest tour -cycling -waterfalls -viewpoint -Camping near the lake -Magoroto lake Kwa Maelezo zaidi na kubook ticket yako yasafar tupigie 0719 544 344 0743 999 391. Follow us on Instagram @sein_the_adventurer  or @hkadventuresntours  Facebook Hk Adventures & Tours Co. #SeinTheAdventurer  #hkadventuresntours  #unfogettablemoments  #Unakosajesasa  #chaka2chaka  #tzunforgettable  #tzdestinations  #tzdiscovery  #Utaliiwandani  #tuizunguketanzaniapamoja  Endelea kutufatilia ktk kurasa zetu kupata update mbalimbali zasafari @sein_the_adventurer  @kkezibert  @hkadventuresntours 

Kilimanjaro gate(marangu gate). Photo credit to @grailstudios  @unclebphoto  MOUNT KILIMANJARO CLIMBING TIPS. Vitu gani uwe navyo!! -miwani ya jua -mask ya kuziba pua na mdomo -boshori(mzula) kofia ya kufunika kichwa chote -Viatu vinavyokupwaya -chupa mbili za maji -nguo za ndani tight full suit pair 3 -Rain jacket -Nguo za kuzuia au kujikinga na upepo -gloves za mikono -soksi nzito pair 3 -walking sticks 2 -sleeping bag Save the date 20-28/7/2019 ndo safari yetu ya kupanda mlima Kilimanjaro for 692,000tsh PPS. Call us for booking 0719 544 344 0743 999 391 Endelea kutufatilia ktk pages zetu kupata update mbalimbali za safari @hkadventuresntours  @sein_the_adventurer  @kkezibert  #tuizunguketanzaniapamoja  #hkadventuresntours  #seintheadventurer  #tzdiscovery  #tzdestinations  #chaka2chaka  #Unakosajesasa  #tztour  #utaliiwandani  #mountainhiking  #mountkilimanjaro  #hiking  #climbing 

UONGOZI NI KUONESHA NJIA Bunge la MWECAUSO 2018/2019 katika chuo kikuu cha kikatoliki mwenge limefanikiwa kununua siwa ya bunge kama ishara ya mamlaka ya bunge . Pongezi kwa viongozi wa bunge speaker ndugu Mobahe George ,naibu speaker Ndugu Jackson Mkalawa na katibu wa bunge Bi Prisca Pallangyo. Lakini pia kongole za kutosha kwa serikali nzima ya MWECAUSO 2018/2019 chini ya Bi Marium Kijida . #vijanajeuriyachama  #tukutanekazini  #tanzaniaunforgettable  #simba  #utaliiwandani  @uvccmsenetikilimanjaro  @mmasi_esther 

Kimondo cha mbozi!! #utaliiwandani 

Usitilie Maanani Upanga Mkononi! Ilikuwa Kheri kabisa! 😃. Kusafiri kunanifanya nikutane na watu mbalimbali wenye stori za kufundisha! #older  #elder  #grandpa  #villager  #backpack  #utaliiwandani  #tanzaniaunforgettable 

#njoomoro  Sasa huu ndio ulizi wa siku hizi!!! . --------------------------------------------------- @njoomoro  ©copyright 2019 in Tanzania🇹🇿 --------------------------------------------------- . #picofthenature  #picofthedays  #tanzania🇹🇿  #kwetu  #narudi  #home  #ofisi  #mtaa  #town  #utaliiwandani  #gallerywall  #fiesta  #homesweethome  #utaliiwandani  #morogrill  #photooftheday  #morogoro  #ulugurumountains  #moro  #hacking  #mountains🗻  #vacation  #viewulugurumountain  #visittanzania  #view  #clouds  #blackandwhite  #blue  #view  #homesweethome 

Colours are the smiles of nature.. Look at this beautiful thing and imagine it bursting upto 97km/h💨 😃 - - - - - - - - - - @crater_ngorongoro  Cc @emode_pixels  - - - - - - - - - - #photographer  #utaliiwandani  #nikon  #D3s  #traveller  #offroad  #travelgram  #tourist  #vacation  #adventure  #life  #nature  #like  #thomsongazelle  #capture  #travel  #trip  #tourism  #grass  #wildlife  #nikonnofilter  #photographyislife  #wild  #Tanzania  #safari  #gazelle 

OUR PACKAGES >DAY TRIPS TO MIKUMI PARK FROM DARESALAM >2 NIGHTS 3 DAYS TO MIKUMI >2 NIGHTS 3 DAYS MIKUMI AND UDZUNGWA NATIONAL PARK >5 NIGHTS 6 DAYS MIKUMI,UDZUNGWA AND RUAHA NATIONAL PARK >6 NIGHTS 7 DAYS SELOUS GAME RESERVE,MIKUMI AND RUAHA NATIONAL PARK >BIKING TO THE MASAI VILLAGE >NIGHT GAME DRIVE AT MIKUMI Check with us on Email:mikumiholiday@gmail.com  WhatsApp:+255625927127 #zanzibar #mikumipark #mikumiholiday #mikuminationalpark #kizimkazi #kiwengwa #pwanimchangani #nungwi #nungwibeach #serengetinationalpark #stonetown #cheapsafari #cheaptour #visit #letsgoafrica #bigfive #tanzaniaparks #safari #holiday #vocation #summertime #utaliiwandani #kendwa #jambiani 

Get amazing wall pics from us/ Jipatie picha hii kutoka kwetu🔥 Fitting: No nails required/ heavy duty tapes applied #harusi  #mapamboyaharusi  #zawadi  #sanaa  #rangi  #nyumbazanguvu  #urembo  #saluni  #utaliiwandani  #utalii  #mazingira  #nywelezetu  #vinywaji  Pueple Orchids

Get amazing wall pics from us/ Jipatie picha hii kutoka kwetu🔥 Fitting: No nails required/ heavy duty tapes applied #harusi  #mapamboyaharusi  #zawadi  #sanaa  #rangi  #nyumbazanguvu  #urembo  #saluni  #utaliiwandani  #utalii  #mazingira  #nywelezetu  #vinywaji  #spa  Stone Green Bamboo

Get amazing wall pics from us/ Jipatie picha hii kutoka kwetu🔥 Fitting: No nails required/ heavy duty tapes applied #harusi  #mapamboyaharusi  #zawadi  #sanaa  #rangi  #nyumbazanguvu  #urembo  #saluni  #utaliiwandani  #utalii  #mazingira  #nywelezetu  #vinywaji  Dandelion

#njoomoro  Bado Morogoro inazidi kuwa bora na nzuri.... Picha hiyo imepigwa mtaa gani ?? . --------------------------------------------------- @njoomoro  ©copyright 2019 in Tanzania🇹🇿 --------------------------------------------------- . #picofthenature  #picofthedays  #tanzania🇹🇿  #kwetu  #narudi  #home  #ofisi  #mtaa  #town  #utaliiwandani  #gallerywall  #fiesta  #homesweethome  #utaliiwandani  #morogrill  #photooftheday  #morogoro  #ulugurumountains  #moro  #hacking  #mountains🗻  #vacation  #viewulugurumountain  #visittanzania  #view  #clouds  #blackandwhite  #blue  #view  #homesweethome 

Lushoto | Forests |Tanzania 18th| May |2019 #great_minds_group  #photooftheday  #forests  #tanzania🇹🇿  #utaliiwandani  #

A group of old buffaloes separated from the rest because they are weak and old.. #ngorongorocrater  - - - - - - - - - - @crater_ngorongoro  Cc @emode_pixels  - - - - - - - - - - #photographer  #utaliiwandani  #buffalo  #nikon  #D3s  #traveller  #offroad  #travelgram  #tourist  #vacation  #adventure  #life  #nature  #like  #mycountry  #capture  #travel  #trip  #tourism  #grass  #wildlife  #nikonnofilter  #photographyislife  #wild  #Tanzania  #safari 

This is a Wild beast, also known as spare part animal due to it's body having similarities to various species.. -head like a grasshopper -horns like a buffalo -tail like a horse's -short hind legs like a hyena Etc 😅 - - - - - - - - - - @crater_ngorongoro  Cc @emode_pixels  - - - - - - - - - - #photographer  #utaliiwandani  #nikon  #D3s  #traveller  #offroad  #travelgram  #tourist  #vacation  #adventure  #life  #nature  #like  #mycountry  #capture  #travel  #trip  #tourism  #grass  #wildlife  #nikonnofilter  #photographyislife  #wild  #Tanzania  #safari  #wildbeast 

For me, Africa is a land of light and contrast. Black and white is the best way to express the solitary emotion and vitality of wildlife. Beautiful stripes #zebra  - - - - - - - - - - @crater_ngorongoro  Cc @emode_pixels  - - - - - - - - - - #photographer  #utaliiwandani  #stripes  #nikon  #D3s  #traveller  #offroad  #travelgram  #tourist  #vacation  #adventure  #life  #nature  #like  #mycountry  #capture  #travel  #trip  #tourism  #grass  #wildlife  #nikonnofilter  #photographyislife  #wild  #Tanzania  #safari  #zebra 

NDANDALO SUSPENSION BRIDGE . . This is a wire bridge of width just sufficient for a person to cross. It joins the villages of Ndandalo and Ibungu in mbeya region! . . . . Photocredt @Uyoleculturaltourism  . . #laevento  #tourism  #mbeya  #utaliiwandani  #safarini  #tanzania  #mbeya 

Happy supporter Thank you for supporting Gemtshirts Brand: FARU JOHN #rhino  #faru  #farujohn  #tshirt  #apparel  #fashion  #wear  #tourism  #utalii  #utaliiwandani  #domestictourism  #support  #black  #africa  #world  #african  #arusha  #inarusha  #tanzania  #instagram  #ig 

The Pugu Forest (previously known as Mogo Forest) is part of what is considered to be one of the oldest forests in the world. The area is characterized by a large number of endemic species of animals and plants. . .For bookings contact +255716880981, youthamazingsafaris@gmail.com  . . ...#puguhills  ....#dareesalaam  #Tanzania  #jambo  #singing  #tourism  #utaliiwandani  #youthamazingsafaris  #yastz  #zanzibar  #tanzania  #hotel  #travelphotography  #travellers  #domestictourism  #Tanzania  #mnara  #pugu #spicefarm  #arts  # #africa  # #unforgettabletanzania  #visittanzania  #drawing  #forest  #tanga  #nature 

One should die for others life #mbuganikwetu  #utalii  #utaliiwandani 

#njoomoro  Bado Morogoro inazidi kuwa bora na nzuri.... Picha hiyo imepigwa mtaa gani ?? Kuna zawadi inakuusu leo. . --------------------------------------------------- @njoomoro  ©copyright 2019 in Tanzania🇹🇿 --------------------------------------------------- . #picofthenature  #picofthedays  #tanzania🇹🇿  #kwetu  #narudi  #home  #ofisi  #mtaa  #town  #utaliiwandani  #gallerywall  #fiesta  #homesweethome  #utaliiwandani  #morogrill  #photooftheday  #morogoro  #ulugurumountains  #moro  #hacking  #mountains🗻  #vacation  #viewulugurumountain  #visittanzania  #view  #clouds  #blackandwhite  #blue  #view  #homesweethome 

Home city Almaarufu mji wa miamba na huku kwao na sato na sangara na wengine wengi karibu sokoni kirumba kirumba .Mungu bariki Tanzania Bariki Africa @saimon_vedastus  . #rockcity #saananeislandnationalpark  #utaliiwandani  #lakevictoria  #mwanza  #mwanaspoti  #tour  #tourist  #people  #beautifuldestinations  #followers  #views  #girl  #website  #blogger  #zanzibarisland  #mofayaenergydrink  #venezuela  #highway  #wife  #enjoy  #joy  #jokes  #comedy  #talent  #show  #sangara  #mbao  #millardayoupdates  #tumewasha 

Visit Tanzania will give you a wonderful time to see things that you must definitely be happy all the time .welcome Tanzania. . .. . #utaliiWaNdani  #photography📷  #pottery  #nature  #nols  #manyara  #serengeti  #ngakakkocakvideo  #edits 

Get amazing wall pics from us/ Jipatie picha hii kutoka kwetu🔥 150x80cm Tsh 75,000/= 200x100cm Tsh 100,000/= Material: Canvas on wooden hollow frame Delivery: Free (DSM) Call/Whatsapp: 0786 016 900 Fitting: No nails required/ heavy duty tapes applied #harusi  #mapamboyaharusi  #zawadi  #sanaa  #rangi  #nyumbazanguvu  #urembo  #saluni  #utaliiwandani  #utalii  #mazingira  #nywelezetu  #vinywaji  #spa  Purple #Orchids  @therubspatz  @careen_beauty_spa  @pure_bliss_spa_viva  @americannailstz  @chicsalontz